Hekima na busara tele za Kaka yetu Tized kamwe hukosi kuziona kama wewe ni msomaji makini wa michango mbali mbali toka kwa Kaka yetu. Umetunukiwa Bro ili upate wa kula naye pensheni taratibu kwa raha zenu. Ngoja niongeze huo umbali na kufanya uwe futi milioni toka usawa wa bahari lol!!!!
duh! Huu mfagilio unatisha,bana mi nipo nipo tu Tized na kaka yake wamenishikia bango nikahesabiwe wakati mim nataka niende zenj kwenye ile hotel aliyotangaza Kikeke ina chumba kimoja kiko chini ya bahar, bas mi wananiudh kwelikweli !!.!
Hmmmmm!!! Chumba cha chini ya bahari siyo? Haya bhanaaa kujua kuogelea muhimu lakini....
:horn::horn::horn:
hizo nyimbo zangu zote? Haya bana naona unan'gon'ga eh! Kuogelea kimtindo si sana....uwe na maandalizi mema ya Christmass,Merry Christmass& Happy new year.
Hahahahahah wala sing'ong'i bhanaaaaa niko kwenye mood ya furaha tu na furaha huweza kupambwa na muziki pia, kimtindo inatosha kabisa kwani unaingia kwenye mashindano ya Olympic!? Merry Xmas and Happy New Year to you too. Thank you so much.

ahsante babu yangu nayapenda sana maneno yako ya busara si kama wazee wengine wanafikiri mvi ndo busara afu nimegundua we ni mtu wa pekee sana umekuwa na busara kabla ya MVI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! salam kwa bibi yetu
Yes dear! That's life dear . Nimeshasau honestly. But trust me , it was not easy , kama si Yesu and my family I dont know where would I be now .Thanks !
Hongera sana
Kama unatumia muda mwingi kufikiria harusi ya siku moja kuliko ndoa ya miaka hamsini, pole sana, inawezekana unataka kuwa bibi/bwana harusi lakini hutaki kuwa mke/mume. Kupanga ni kuchagua.