Utasikia...............
Hakuna anayewaza, Hivi akifukuzwa kazi akawa hana mshahara bado nitamuheshimu? Akijifungua halafu akanenepeana kupitiliza bado nitamwita baby? Akiumwa halafu nguvu zake za nanihii zikapotea bado ntakuwa mwaminifu? Akipata ajali na kuwa na kilema cha maisha hivi bado nitamuenzi?......
SHAKE WELL BEFORE USE!
loading.....
Error E52
Jamiiforum message: hatutakuwa hewani kwa mudaTry again later.........
Jamiiforum message: hatutakuwa hewani kwa muda
One day at a time, One thing at a time.
Unawaza hivyo vyoote halafu ufanyeje sasa? Hata utumie miaka mingapi kufikiri, waweza kujua lisaa limoja mbele kitatokea nini? Ndio maana tunaangalia na kusonga mbele kwamatumaini na kwa kutegemea mazuri.
Mtu akiishi kwa woga na kuwaza mabaya, atakaribisha mabaya. Akiishi kwa kufikiri na kukiri mazuri nayo yatakua sehemu yake.