Kwa waoaji na waolewaji tu

Kwa waoaji na waolewaji tu

Nakubali waraka ni mzuri,tumuombe Mungu atuonyeshe yasiyoonekana,bt at the same time kumpenda mtu flani,ile feeling huwa ni natural,na nnaamini usioe /kuolewa na mtu usiyempenda kwa mwonekano wa nje...
 
Tatizo kile kimechanganyika na aya za shetani ndio maana hata wao wenyewe siku hizi wanasoma sana injili kuliko hata wahusika wenyewe.
kwanza unatakiwa kujifunza namna ya kujenga na kujibu hoja bila ya kumuumiza mwengine asiyekuwa katika upande unaouamini wewe. Sijui utajisikiaje kama mimi muislam nikatokea hapa jukwaani nikaanza kuutukana ukiristo na kitabu chao. Dini ni taasisi inayomuandaa muumini kuwa mstaarabu, mvumilivu na mwenye hekima katika mambo yake. Wewe ambaye kitabu chako kitukufu kimeepukana na aya za kishetani, imekuaje kuja hapa na kauli za kishetani ambazo zina lengo la kujenga shari na binadamu wenzako wasiokuwa katika dini unayoiamini wewe?
Unatakiwa Uwe mwerevu wa mambo hata kama hukuenda shule lakini nafasi ya kujifunza kupitia wengine ipo. Kwa kweli umeniumiza mno kuikejeli Qur-ani, kitabu kitukufu ninachokiamini kwa moyo wangu wote. Hata hivyo sitolipiza kwa kukashifu dini yako, kitabu chako kwasbb kufanya hivyo sio ustaarabu.
 
ila ni kweli kuwa SURA si kigezo cha kuoa au kuolewa.kwangu mimi naangalia TABIA NA HEKIMA YAKO kimwana
 
Tukijitahidi kutozingatia mwonekano wa nje kwa kweli ndoa nyingi zitadumu....Cc Prince Hope
 
Last edited by a moderator:
mmh, ni kweli, lakini wengine hupewa vyoooteeeeeeee hivyooooo
 
ni elimu tosha.. Mwenye macho na asikie na mwenye masikio na aone
 
Raha ya ndoa umuoe yule unayemfurahia toka moyoni. What if huyo mwenye sura mbaya akawa na roho mbaya pia?All in all, hiyo haina formula wala ujanja, ni kumuomba Mungu afungue njia.
ni kweli
 
sikutegemea kupata walaka wa mapenzi uliojaa busara kupitia jukwaa hili,leo nimekutananao umeongea kiimani zaidi sio kimaisha ya kidunia ambayo ukitazama ndoa nyingi zinaongozwa katika maisha ya kidunia zaidi ndoma hazi dumu

Hapo kwenye red unasema ukweli kabisa, ila yote ni kwa sababu wasichan wengi ndoa zao hazitoki kwa Mungu zinatoka kwa waganga wa kienyeji, so dawa zikishachuja kila kitu kinaharibika, hawamtumainii Mungu wao wanamtumainia Mganga wa kienyeji, pia wengine wanaolewa kuvaa lile shla na kusema wanaondoa nuski , so hawako tayari kuvumilia matatizo watakayokutana nayo humo ndani, na hawana siri, wanasema kila kitu cha ndani ya ndoa yao. Kiasi inashangaza sana. NDIYO MAANA NAPENDA KUWAASA WAVULANA NA WASICHANA KABLA YA KUOA/KUOLEWA FUNGA NA USALI NA UTOE SADAKA MUNGU AKUPE MUME MWENYE HERI NA WEWE, ATAKAYEKUPENDA, MWENYE UVUMILIVU PALE UNATAPOKUWA NA SHINDA.
 
::
Nakusalimia tu, miss U a lot
=
 
mm hapa pamenigusa saidi:

TURUDI KWENYE BIBLIA:
-Yakobo ALIOA SURA NZURI YA RAHELI Na KUTOMTHAMINI "SURA MBAYA LEAH" Lakini "HAKUJUA KUWA RAHELI NI MWABUDU MIUNGU MINGINE" Hivyo "ALIOA SURA NZURI" Kutokana Na Mahitaji Yake Ya Wakati Huo Lakini "HAKUZINGATIA HALI YA KIROHO YA RAHELI WAKE" Na Mwisho Wa Siku "HAKUFIKA NAYE MBALI"
 
Back
Top Bottom