Kwa wanawake wapweke tu

Hebu sema research title ya uchunguzi unaofanya. I think you are researching on something Decentman
 
Last edited by a moderator:
Hebu sema research title ya uchunguzi unaofanya. I think you are researching on something Decentman

Hata ww mkuu unaweza kuwauliza wanawake watakueleza shida zao na watakwambia wanataka nini. Hapa mm sifanyi research nawapa kile wanachotaka ambacho baadhi ya wanaume hawataki kuwapa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha..dah aseeee yan nacheka kwa masikitiko ...a man ..mkuu hivi ulishasoma biblia takatifu kama you are Christian au msahaf kama Islam... Ndivyo ulivyofundishwa ???, kwamba kama wanawake hawaridhishwi na wenza wao wewe ndo uwasaidie ...are you for real?? Utawasaidia wangapi mkuu magonjwa mengi na unamkosea Mungu ...#dah magufuli ana kazi kweli ...
 
Karibu sana mkuu. Unajua watu wanadhihaki hawaujui ukweli. Ukweli ni kuwa wahitaji ni wengi saaaana.

Kwa hiyo utawahudumia wote hao? Au na weww utawafanya wasiridhike?, inawezekana na wewe una hizo hizo shida. Au zigo la Virus limekuzidia unataka kugawa gawa?.
 
Kwa hiyo utawahudumia wote hao? Au na weww utawafanya wasiridhike?, inawezekana na wewe una hizo hizo shida. Au zigo la Virus limekuzidia unataka kugawa gawa?.

Waweza kuja kunipima au twende tukapime then majibu utayaweka hapa...
 
Mmmmh! kama vile umeuona moyo wangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…