Kwa experience yangu watu decent huwa wanateswa sana kwenye mahusiano
sijui kwanini, ila sio sababu ya kuacha kujitunza wajitunze tu....
Are you good girl gone bad?yani nilitaka comment the same thing,ukiwa the 'goodgirl' lazima ulizwe..
yani nilitaka comment the same thing,ukiwa the 'goodgirl' lazima ulizwe..
Wapi aliposhawishi???Wewe kama walishakuharibu basi tulia usishawishi na wengine kwani uliambiwa binti anajitunza kwa ajili ya kuolewa tu".....mazungumzo mabaya huhaributabia njema"
Kwa experience yangu watu decent huwa wanateswa sana kwenye mahusiano
sijui kwanini, ila sio sababu ya kuacha kujitunza wajitunze tu....
Wewe kama walishakuharibu basi tulia usishawishi na wengine kwani uliambiwa binti anajitunza kwa ajili ya kuolewa tu".....mazungumzo mabaya huharibu tabia njema"
yani nilitaka comment the same thing,ukiwa the 'goodgirl' lazima ulizwe..
We unawaongelea watu wa tamthilia haoHuwa hawateswi, mi naona wenyewe ndio wanajitesa nafsi zao. Hawa watu wanacomplicate kila kitu. Hawajazoea maisha ya kawaida ya mtaani. Ukiwa na demu wa hivyo atataka kila ufanyacho umjulishe, hata kwenda kukata gogo. Maana simu inaeza kuita usipokee baadae ukimpigia akikuuliza," mbona hupokei simu". ukimjibu nilikua ch**ni atakuambia "mbona hukuniambia" sasa akutane na vichwa mbovu jibu atakalopewa lazima akamhadidhie kila mtu.