Kijana nakushauri umchukue mwanafunzi ili mpeane pindi la mwandiko.
- Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka ishirini na tisa nimeajiliwa katika idala moja wapo ya serikali.
- Ninatafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 28
- sifa za ninae mhitaji awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, asiwe mwanafunzi, awe mkiristo kama ni mwislamu awe tayari kubadili dini
- kwa mawaasiliano nitext kupitia namba 0753868912 ili tuongee zaidi na ni kwa walio sereous tu
Kijana nakushauri umchukue mwanafunzi ili mpeane pindi la mwandiko.
Kama unaona donge kaolewe wewe, mwandiko unahusika vipi kwani katumia peni? Ukiona hujaelewa ujumbe jua haukuhusu. Hakuna awezaye kuongea lugha yoyote kwa ufasaha 100%
Mbona povu linakutoka wewe?? Jamaa anatafuta dame sio shoga!! ila endelea kujipendekeza anaweza akabadili msimamo wake, ukapata bwana!!Kama unaona donge kaolewe wewe, mwandiko unahusika vipi kwani katumia peni? Ukiona hujaelewa ujumbe jua haukuhusu. Hakuna awezaye kuongea lugha yoyote kwa ufasaha 100%
Hii Id yako nyingine?? Hivi mtu mzima tena mwajiriwa wa serikali anawezaje kuandika ovyo namna hii? Eti umli,mwajiliwa,idala...uwii
Ukishajua aina ya serikali anayoitumikia hutashangaa aina ya mtumishi wake........hao ndio waajiriwa wa serikali yetu sikivu......ukija kuchunguza unaweza kukuta hata vyeti ameghushi ili kuipata hiyo ajira.....maana hata mpwa wangu anayesoma nursery ana nafuu kwenye uandishi kama huu....Hii Id yako nyingine?? Hivi mtu mzima tena mwajiriwa wa serikali anawezaje kuandika ovyo namna hii? Eti umli,mwajiliwa,idala...uwii
Ukishajua aina ya serikali anayoitumikia hutashangaa aina ya mtumishi wake........hao ndio waajiriwa wa serikali yetu sikivu......ukija kuchunguza unaweza kukuta hata vyeti ameghushi ili kuipata hiyo ajira.....maana hata mpwa wangu anayesoma nursery ana nafuu kwenye uandishi kama huu....