wanawake wenzangu mlio kwenye ndoa salaam! Kwanza napenda kuwapa hongera, maana ni stage nzuri na ya muhimu kwenye maisha. Najua kuna changamoto nyingi kwenye ndoa, ila haziwezi kubadilisha ukweli kuwa ndoa ni jambo muhimu. Leo naomba mnisaidie jambo moja tu, ukiweza nitajie jambo moja tu au tabia ya mume wako usiyoipenda, na tabia moja tu au jambo analokufanyia unalolipenda. kwa wanaopenda utani kwenye mambo ya muhimu, uzi huu upotezee.,nawakaribisha!