Bila shaka huchepuki tenatumekusikia
Wewe umekua wa 38 kati ya 41.Nahisi nikioa nitakuwa kati ya hao 37. Kwenye mahusiano nikiskia au nikajua mwenzangu anacheat huwa sinaga longolongo.
Kwan nilikwambia nachepukaBila shaka huchepuki tena
Mbona umekuwa mkali sanaMijanamke ya siku hizi iko sugu mkuu, tena iko sugu kwa kila jambo. Kwahiyo hayaelewi wala kuambilika ... Yani ipoipo tu.
Kama kweli huchepuki ni miongoni mwa wanawake wachache sana wenye kuthamini utu waoKwan nilikwambia nachepuka
Usiwe mbishi kama tomasiUtafiti umefanyika wapi na tafiti zip zilitangulia mpaka kufikia jawabu hilo?
DuuuuuuUmeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Hivi kuna mtu mkamilifu wa vyote?Umeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Umeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Wewe umekua wa 38 kati ya 41.
Unamtimizia haja zake ndani ya nyumba lakini?mwanamke si mwepesi kucheatUmeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa