Kwa wanawake tu

Mvunja Uzio Hasahauliki Nyie
 
Ubikira unavunjwa na mambo mengi. Unaweza kuvunjwa kwa kukimbia, kuride baiskeli, kufanya mazoezi, hata kufanya mapenzi.
Kwa hivyo usijishaue, uringe eti ulimbikiri, kumbe uli,,,,,.
NB. It has been scientifically proven that mtu anaweza kulala na mwanamke lakini asimbikiri.
 
Yeah nina list ndefu mnoooo, hata wa last year tu simkumbuki huyo wa kwanza ndio tamkumbuka kweli???

Hata hivyo msafiri hawezi kusahau alikoanzia safari na anakomalizia safari. Vituo vingine vya njiani si rahisi kuvikumbuka sababu wakati mwingine, huvipita akiwa amesinzia.
 
Hata hivyo msafiri hawezi kusahau alikoanzia safari na anakomalizia safari. Vituo vingine vya njiani si rahisi kuvikumbuka sababu wakati mwingine, huvipita akiwa amesinzia.
Bebi...mzima?
 
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!

Nimeota utakuwa ulianzaga kwenye kombolela na wakakupiga mtungo ndiyo maana haukumbuki ni nani mhusika hasa
 
Hata hivyo msafiri hawezi kusahau alikoanzia safari na anakomalizia safari. Vituo vingine vya njiani si rahisi kuvikumbuka sababu wakati mwingine, huvipita akiwa amesinzia.

Basi mie hata sikumbuki kwakweli
 
Nimeota utakuwa ulianzaga kwenye kombolela na wakakupiga mtungo ndiyo maana haukumbuki ni nani mhusika hasa

Lala tena utajiona wewe kuwa hiyo ndoto inakuhusu, hukuimalizia tu.
 
Sio kweli! mwanamke bikra ni yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi full stop...virginity is a condition not an object
 
Et ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi
anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una
mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?

Oooh kumbe mambo haya nilidhan tunaongelea mabadiliko..
lowassa..lowassa....mabadiliko

.halafu rubii ndo umeimba haka kawimbo kanakohit sasa ka moyo wangu tembea na yule.....?:what:
 
Last edited by a moderator:
Oooh kumbe mambo haya nilidhan tunaongelea mabadiliko..
lowassa..lowassa....mabadiliko

.halafu rubii ndo umeimba haka kawimbo kanakohit sasa ka moyo wangu tembea na yule.....?:what:

Hommie... wewe na rubii mnaongelea maisha bora kwa kila mtanzania au sitawaangusha??
 
Last edited by a moderator:
what is kutoa bikra?? kinachofanya mtu akumbukwe ni mapenzo motomoto sio kuzindua kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…