Wazi Zuri ila wafanyayo haya hufanya kwa hiyari yao pasi na kulazimishwa
Mwili wako chaguo lako
Kampeni tunaanza lini ya kupinga mini kabang? Naombeni dili la kuleta tshirt na kofia mnipe. Afu kama yatahitajika maji ya kunuwa pia, inna uzoefu manake nna baa kwa mfuga mbwa 20 yrs now.
#teamfursa
Hayo ni maamuzi ya mhusika mwenyewee kutoa au asitoe maana kila mtu ana mamlaka jui ya mwili wakee
Jamani wanawake wenzangu utu wetu uko wapi hili swala la kutoa mini kabang Mbona limekithiri Sana hivi kuonyesha unampenda mpenzi wako ndio utoe t...(0713) hivi tunayajua madhara yake?Tuelimishane na Inawezekana tuanze kampeni tokomeza utoaji wa (0713)
Mie nachukua tenda ya kuandaa mabango
Kutoa tigo ni upuuzi wa mwanamke mwenyewe
Jitu umekutana nalo na meno 32, wazazi wake wamemshindwa utamuweza wwwe?
Kwa nini usikatae kutumika mwili wako hovyo? Akitaka tigo mwambie apindishe dindira yake ajiingize kwenye tigo, si na yeye anayo?
Misimamo, kudhani ukimpa tigo ndo utapendwa au utamshikilia, yaani badala ya kujifikiria mwenyewe unamgikiria jiti loh