Kwa wanawake tu.ulishawai kudanganya una mimba?

Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee mwanamke sio mzima kama mzima ulishawahi dumbukia chooni
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka
Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
hahaha Aisee
 
Hii kawaida ila mbaya zaidi pale mlengwa anapofurahia kuwa atakua baba na ndoalichokua anataka kumbe wewe uliwaza ela
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
Duh leo uneniacha hoi Demiss ,hayo yote kusaka hela tena kwa mbinde aseei hata uwe mgumu Kama Mimi bado wanawake wanatafuta alternative tu.
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
😂😂😂😂
You are fucking genius
 
Niliwahi kufundishwa kuwa mwanamke akiamua hashindwi leo umetisha sana[emoji23][emoji23]
Inategemea na mwanamme mwingine ukimwambia ndiyo anafurahi kuwa baba na lengo lako umpige helaaa

Dili huwa linafeli unamwambia nilkuwa nakupima tu baby
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
Kumbe uko cheap kiasi hicho?
 
Wakurugenzi wamechukua Sana madem zetu shenzi.Tena wale wenye 50s wanabalehe ya pili.Anyway wapigeni hela
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
 
Na huu ni mtihan mkubwa sana wa kumpima mwanaume, hata kama taonesha anakubali, huenda akadhan unamwongopea, msisitize una mimba aseh ataingia mitini[emoji3][emoji3][emoji3] sana sana atakushauri utoe
Kipindi flani bna nikakutana na muhenga flani hivi kama moyo wangu ukamuelewa vizuri hivi.
Tukaanza mahusiano flani
Kwa vile nilitaka kuhamia ,nikaona nitest mtambo nikamuambia bna nimepima Nina mimba.
Yaani alichoniambia nilikoma .Hadi Leo hata niwe na nyege vipi Bora niwe chaputa follower.
Nilijifunza kufunga miguu kusema kweli.
Nilikuwa naonaga masingle maza walivo na stress za baba watoto kweli nawaelewa Sana maana ningekuwa huko saa hizi.
Inauma Sana mtu kukana damu yake
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia

Ha ha ha wengine ngumu kuwadanganya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila shost una matukio hataree.Hatushindwii

Back
Top Bottom