Kwa wanawake tu Tafadhali!

hukuru

New Member
May 7, 2012
3
0
Habari! mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, dini ni muislamu, elimu Shahada (degree), ni muajiriwa. Nimeoona ni muda muafaka wa kumtafuta mwenzangu nitakayepanga nae maisha. awe na umri wa kuanzia miaka 18-25, elimu kuanzia form vi na kuendelea, urefu wa wastani. mwenye nia ya kweli ani pm. Thanks!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom