kwa Wanawake na Kinadada

Orodha ya vitu vitakavyokuwa kwenye pochi za wanawake naona inazidi kuongezeka, the newest one, "kikojoleo"
 
Orodha ya vitu vitakavyokuwa kwenye pochi za wanawake naona inazidi kuongezeka, the newest one, "kikojoleo"

Kwa hiyo wakienda kununua dukani, waseme niuzie kikojoleo. Asante jina zuri umeshalibatiza
 
Kweli! Kikojoleo kizuri, ndio kwenda na wakati tena. Atupo katika karne ya 18
 
ha ha ha ha ha,tunashukuru......hivi kuna waliodai usawa kwenye hili suala??
 
Mmmmh, haki sawa,
Sijaipenda.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…