Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Gari kuu kuu....trip shamba trip garageNdo nini?
Gari kuu kuu....trip shamba trip garageNdo nini?
Eeeeeh. Asijinyime utamuUmeona ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa inahusianaje na humu?Gari kuu kuu....trip shamba trip garage
Nitakutegua babu.Unanitega...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa inahusianaje na humu?
Anhaaaa.. wengine wadogo bado bwana.Kwamba wengi humu tumekula chumvi 30+ tunaishi kibachela
Ndio maana nawapenda sana 30+Sababu wanajua utamu wa sex. Hawana utoto wa kuzungushana sijui akupime sijui nini. Ye anajua anachokitaka kwako ni nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nivute miaka nifike hapo.Ndio maana nawapenda sana 30+
Bado mingapi ufike hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nivute miaka nifike hapo.
Fanya haraka kabla mambo hayajaharibika huku chini...Nitakutegua babu.
Anhaaaa.. wengine wadogo bado bwana.
MitanoBado mingapi ufike hapo?
Kwani bibi kaenda api?Fanya haraka kabla mambo hayajaharibika huku chini...
Mi mdogo we kaka usinizeeshe. Kuwahi dudu mapema hakunifanyi niwe mbuyuKwahiyo ww miaka 28 unajiona mdogo?!
Una miaka mingapi?!Mi mdogo we kaka usinizeeshe. Kuwahi dudu mapema hakunifanyi niwe mbuyu
Nguvu nitakuwa bado nina zone. Niweke kwenye waiting list tafadhaliMitano
Unaniulizaje miaka yangu? Unakosea ujue mwanamke haulizwi miaka.Una miaka mingapi?!
asikumbie mtu genye zikishakupanda mwili unapoteza ushirikiano kabisaMi naona bora upate dushe tu kuliko punyeto na tena ushajua hatuwez olewa wote unaweza ukajikuta unakufa na utamu wako.
Anaulizwa tu....unaficha umri wann sasaUnaniulizaje miaka yangu? Unakosea ujue mwanamke haulizwi miaka.
Kaelekea kwenye mwezi...Kwani bibi kaenda api?