kwa wanavyuo...

Joined
Feb 16, 2016
Posts
7
Reaction score
2
naomb kufaham uwepo wa kozi ya "foundation" kwa chuo cha DIT ama IFM ambayo inamruhusu mwanfunzi kuanza certificate kama hakutimiza pass znazohitajik yan atasoma masomo ya form 4 machache kwa muda mfupi hapo chuoni na kupata chet.....kama kuna chuo tofaut na hicho napenda kufahamu pia.
 
Dit hamna certificate... then kama ana vigezo vya physc,math,engl na chemia.. bas aende cbe.. ndo kunamfaa
 
IT ya DIT inahitaji aliyefaul O level Mathematic na Physics, na wanatoa Diploma na Degree(Conputer Engineering) na IT lakini vigezo vyao ni hayo masomo uwe umeyafaulu
 
naxhukur kujua hilo bt huyu kijana amesoma arts na ana pass 2 tu yani "C" na "D" vp ataweza kwenda chuo gan akaxoma
 
Kuna chuo cha utumishi cha magogoni wanatoa kozi za certicate,ajaribu hata huko hatakosa nafasi
 
Dit hamna certificate... then kama ana vigezo vya physc,math,engl na chemia.. bas aende cbe.. ndo kunamfaa
hata hiyo CBE kuna course ya IT wanatoa lakin lazima uwe ulisoma physics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…