Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
ngoja tu niwe straight forward ajira za i.t hua haziangalii g.p.a but hua tunaangalia uzoefu wa mtu katika practical solutions za i.t,na hii hutokea pale ambapo mhitimu kapata hata 1st class ila ukimleta atengeneze hata lan network ya ofisi anabaki kushangaa , unaposoma hizi fani fanya mambo yako out of the box, inabidi mwanafunzi uwe mtundu, na hapa niwe wazi tu hua nakosa raha kuona ya kwamba sisikii mara nyingi taarifa kwamba kuna mwanafunzi kavumbua creative app nzuri huko playstore ama kafanya hacks ni nadra sana enyi wanafunzi kuweni practical ndio dili.
Unapoamua kusoma hizi fani hakikisha upo kisasa zaidi ili uwe sambamba na ulimwengu wa sasa, hua naumia sana navyoenda vyuo vikuu na ninakuta wanafunzi wana tumia computer za zamani mno, programe zinazotumika za zamani na hata material za zamani, kukabiliana na hili jambo nunua laptop yako ya kisasa, tumia matoleo mapya ya program na jaribu kufuatilia latest tutorials huko youtube maana hat mkisoma hicho kitu darasani mtagusa juu juu tu kwa semester ya miezi minne tu.
kitu kingine unapoingia hii fani jaribu kutenga muda wa kujifunza ama kufanya vitu vitakavyokunufaisha kama mwanafunzi katika hii fani kwa mfano waweza kujifunza website development, programming languages, graphix designing, ku shoot video, kutengeneza beats,e.t.c na inakuwa vizuri mno mkiwa katika magroup humo darasani mimi naamini kama ukijifunza/kufanya hivi vitu kwa miaka yako mitatu hapo chuoni utaweza kuijiajiri kabisa na kupata income yako nzuri tu.