Kwa Wanaume Wote JF

ngoja magu aingie chaka aanze kuwatafuta wenye hizi picha mtahama nchi nawambia
 
Mi yangu hiyo hapo kwenye avatar. Ni mtu flan hivi chotara, kawaambie hivo sawa!?
 
kama hili wazo ni la tISs basi intelijensia yako ni ya kipuuzi sana mleta mada, bora ukalime tu
 
Not to such extent. Nimeipenda JF wamemtoa baru mwanzisha uzi, hizo mbio ni zaidi ya nissan nyeupe!
 
Wakurya mnamatatizo sana Yaani unajiongelesha mwenyewe..
Haya bhana ila Mjinga haitwi Popoma bali anaitwa Ngumbaru na Mpumbavu ndiyo anaitwa Popoma. Anyways kila la kheri Popoma na tupo pamoko / pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…