Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Mnajifanya mnaanakili nyingi mnoo kumbe mabichwa yamejaa uwongo na umpumbavu tu!
Hamuna ustarabu na adabu hata chembe kazi ujuaji/ujuba,vurugu/vituko na uhuni tu!
Mimi ni malaya, malaya ni nyinyi mnashindwa kukaa bila ngono kutwa kutafuta wanawake. Masikini mnajifanya vidume kumbe ni viumbe thaifu mnooo duniani na ndio maana mnakufa haraka. Na sasa kutaka urafiki na mahusiano pasipokuwa na vigezo vyangu. Na nimekukomesheni vizuri mnoo maana nambari hampati!!
Mimi ni chizi, chizi nyinyi mlokuwa hamna kazi za kufanya na sasa mmebaki kuropokwa ovyo na kushindwa kujitambuwa.
Mimi siropoki tu na kama nimesema kitu kuwa nina ushahidi na bado nitaendelea kusema sasa kama nyinyi mnavyoshindwa kufunga madomo yenu na kila siku zikizidi mnazidi kuwa wanafiki na wababaifu.
Mimi nina nyege, wenye nyege nyinyi mnaofikiria mimi kutokuwa na mume na mtoto/watoto ni mwisho wa maisha yangu, kwa tarifa zenu mume na mtoto/watoto sio tunu kwangu na kama vingekuwa tunu kwangu ningepunguza vigezo, na ndio sasa nimeviengeza na nikasema kabisa sitaki papara.
Mimi sina utu na eti nimeweka pesa mbele, nyinyi ndio hamna utu kutwa kukejeli na kuthalilisha wanawake, na mmebaki sasa kuweka pesa mbele kama vile zenu. Mimi sina shida ya pesa ya mtu yoyote yule kwa hiyo nina haki zote ya kuongelea pesa yangu.
Mnikome na wacheni ushamba, hashuo na kutapatapa na kujifanya wakamilifu na watakatifu na sasa mmejifanya nyinyi Miungu, na kujuwa kuhukumu na kutabiri maisha, hasa kwa mtu ambae hata hamumjui na sasa kutaka kunizoweya.
Tabirini yenu na azeni kuweka sawa shida zenu kwanza kama mtaweza huku mkifungua madomo yenu yanayonuka thambi, shida, njaa, choyo, tamaa na ufisadi.
Na kama sio chuki, tamaa, ufisadi na ubaguzi ni nini sasa, kuwa bado mnaendeleaje kuwa malimbukeni na kubweka kila kukicha.
Nithahiri kuwa sasa mumeshindwa kupambana na stressi zenu!
Mimi sikuja hapa kuomba ushauri wa kuishi maisha yangu, jishaurini yenu kwanza kama mtayaweza!
Kwani mimi sijui kama kupata mume humu kwa vigezo nilivyoviweka sio rahisi kuwa wengi wenu humu muko Tanzania na pia kwa miaka ya mume ninae tafuta wengi wenu humu tayari sasa muna watoto.
Mnashindwa kueleweka kwa midomo yenu yanayoshindwa kuwa wastarabu,
bizi kutukana na kunyanyasa wanawake kama vile mlijazaa wenyewe!! Yatizameni vile yanavyoshindwa kujiamini sio bure tayari mumelaaniwa.
Siyumbwishi kwa maneno mimi na wala sikuogopeni na mtasumbuka saaana na sitojibu mtu mmoja mmoja kuwa niko bizi mnoo.
Kwa hiyo thread zitakuja tu, hili jukwaa sio lenu na kwa tarifa yenu mmiliki wa hili jukwaa ndio kwanza anasema nibaki.
Endeleeni sasa kuwa nyinyi ni wakorofi na wakaidi na kama milifikiria mtanikosesha amani na kushindwa kufanya yangu kwa midomo yenu hiyo michafu. Mtakosa amani nyinyi sasa kuwa mimi humu sitoki.
Na kama sasa mumeishiwa nacha kusema kuwa hamuna jipya, wacha nisome mada nyengine tofauti ambazo za maana kuliko kusikiliza ujinga wenu.