kwa wanaume walio oa (kina baba flani)



Hahahaaaaaaaaa. Umejitumaa.
 
Ulimwambia lakini, sidhani kama anakuja humu jamvini. Ungempa za uso kuliko kubadilisha no, utabadilisha mara ngapi?

Bora wewe umesema...ila nahisi umri bado tatizo...ndo ule wa kuringaga na kujifananisha na malkia. Maana uzoefu unaonyesha ukitaka kufa na presha tafuta hawa watoto wadogo ambao hawajakomaa kiakili. Ila wakishakomaa kina mama mpaka wanatoa raha.
They know what they want and can communicate with no hurdles or hussles.
 
Teh! teh! teh!
siku moja tuma thread
uulize wana JF kuwa hivi '' wewe kama mwana jf ulikutanaje na mpenz,mke/mume au mchumba wako???"
af uskie watajib nini utakuta ni hayo hayo!
njema wkend!
 
Huyo mme wa mtu,huyo aliyekuja kukaa meza moja na wewe alafu wakakutongoza sidhani yote kama ni issues.mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida,kama umegundua ni mme wa mtu unamwambia tu ukweli hupendelei,na kama jamaa kaja kwenye table yako na kalianzisha nadhani unampotezea tu kiaina,wanawake i know you are so good on this,sasa nashindwa kuelewa kwanini unapata stress kwa mambo madogo hivi..........icje ukawa unahusudu hizi situation Alafu unatueleza just to boost your ego!


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…