BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
The thing is...you can do all of those things...go even above and beyond...and still end up being seen af
mmmh!wengine lugha hiyo hadi nitafute miwani!!!
miwani bwana,dikshenari ninayo ile ya swahili-english!!ntakuazima dikshenari
acha masihara Nyani Ngabu, toka lini kujitoa na kuonyesha mapenzi bin mahaba kwa mwenzi wako ikawa mume bwe.ge?????
Mbona sie hatuogopi kuitwa 'mke bweg**'?
Not a so good excuse for being selfish Nyani Ngabu
Ahsante sana BADILI TABIA,
Uzuri ni kwamba wale wanachama wetu wa 1947 club wanatimiza majukumu yao pasi na shaka!!
Huwa nawashangaa watu wanaoiga bila kuuliza hadi unamkuta mtu kamnunulia mpenzi wake kadi imeandikwa..."Just for you my darling or sweetheart"..
Bibi is not "just bibi"....she is really bibi, the mother of my lovely sons, and a sweet grand ma!!
Ngoja niishie hapa kwani natamani kwenda kumuimbia bibi wimbo wakati sauti sikupewa na Muumba!!
Babu DC!!
Evil me, nikiona mabinti wanatoka na sugar daddies huwa najiangalizia na kusema labda wana sababu. Wanaume wa siku hizi babu tukiwachekea hadi kodi ya pango na skuli fees analipa mkewe. Na bado akucheat kwa madai huna bidii 6*6 na haumjali. Ntajali saa ngapi nikitoka kazini watoto wanaita mama, kila kitu ni cha kusimamia. Wewe utoke bar saa tano na kuja 'kujaliwa' tu.
BADILI TABIA kwanza ninyi wadada hampendeki acheki kulalama!