MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Tunatongoza warembo,umetupata mjomba?Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sio sehemu ya maisha yako babu hatuko clinic ya watoto kutaka kujua jinsia.Alafu unaweza kuta we ni dume
Weka picha, hatununui mbuzi kwenye gunia. Na useme hali yako kiuchumi maana na sisi hela zetu zina kazi piaJamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika ila vitendo asilimia sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
Tatizo kisamakiJamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika ila vitendo asilimia sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
Nyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na Iβd mupya πππ
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote
Kama ulikuwa kwenye akili yangu πNyie hali ngumu Pm kumekauka
Mmeamua mje na Iβd mupya πππ
Haya mabro mnaitwa piemuni Extrovert Glenn ERoni Shimba ya Buyenze Half american Mpaji Mungu na wengine wote
Acha ukorofi π@figo97 strikes again