Kwa wanaume tu!



Kwamba wanawake akili na maarifa yao yote wahamishie kwenye kuwaza jinsi ya kufanya wanaume zao wasitafute nyumba ndogo?

Mwanamke wa kweli ampige kibuti mara moja atakapogundua mwanaume wake ana nyumba ndogo.

Mwanaume akikukosea, anaomba msamaha kinafiki nawe unamsamehe right away na kumbusu, na mwishowe kumpa wild jig, anaishia kukutoboatoboa na kukuvujishia majasho tu, hata hujaridhika mtarimbo umelala doro...... umeshatumika.

Wasichana msiogope kuachwa, after all you are doing very fine zaidi ya hao wanaume. Hawana lolote zaidi ya kutumia mabavu tu, hawawezi kuthink independently kwenye mambo ya maendeleo.

Tumieni front lobe za brain zenu nyie watoto wa kike. 'Love is not about having someone to live with, love is about having someone you can not live without'- unknown.
 
Ningesema ukweli na kumgeuzia kibao mke wangu kwamba nywele zilinizidia zikawa zinaniwasha hivyo nikatafuta msaada kwenye tutta nikaupata.
 

hizo kauli 2 zinanipa utata. cha msingi elewa tu kwamba unconditional love may fail but love with conditions does not even have a chance. suala la kumhudumia mwenza wako ni kujipanga tu la sivyo vicheche njenje
 
Wala sielewi,kwani si nna kaka na mafriend men!so lazima nisome ili niwaambie


Hivi samahani wewe ni uzuri wako au picha??? Unapoambiwa na watoto wa kuume usisome wala kukomet usikii haya watu watakupenda uanze kutoa michozi
 
akifika nyumbani aombe ziwe zimeota walllah, hizi dharau mie zinanikera sana...kwanini wanakula wanasahau kufuta mdomo?
 
Ningesema ukweli na kumgeuzia kibao mke wangu kwamba nywele zilinizidia zikawa zinaniwasha hivyo nikatafuta msaada kwenye tutta nikaupata.


jamani kwanini hao wake zenu ni wapole na muwanyanyase tena? unigeuzie kibao yeruwa!
 
hizo kauli 2 zinanipa utata. cha msingi elewa tu kwamba unconditional love may fail but love with conditions does not even have a chance. suala la kumhudumia mwenza wako ni kujipanga tu la sivyo vicheche njenje

To be in love is necessarily to live with someone, sawa? Otherwise you can be in love with someone you are not living with but without whom, life has not meaning.

This means, to be in love you must not be married to someone who puts conditions for love not fail.

By the way, katika kitendo cha kufanya mapenzi wanawake ndio wanafaidi zaidi. Hivyo sioni sababu kwani wao ndio waonekane wanapata 'favour' panapo mahusiano ya kimapenzi. Kwamba mwanamke asipom-bembeleza na kufanya 'effort' kumhudumia mwanaume, atakuachwa au mwanaume ataenda kwa nyumba husika. Mwache aende, kwani anakupunguzia nini, Woman, you got a pussy na he got a dick. Hakuna kuzidiana.

Wanawake wawe na uthubutu wa kuwaambiwa wanaume zao kuwa watawaacha wasipotimizia mahitaji/matakwa amabyo wanawake wanajikia kuwa fulfilled. It is high time sasa wanawake wawekw terms of reference and conditions.
 
inaelekea picha zinakutatiza eeeeeh?kumbe unaweza maliza ugali kwa picha ya samaki?uzuri wa mtu anaujua mtu ww utaona kwa picha na kuupenda uzuri wa picha lkn wenzio hawadanganjiki na udongo wa nje wanaaangalia uzuri wa ndani,roho safi,tabia njema etc kama hujaelewa ntaku PM usikonde uu ni udongo safi wa mwenyezi Mungu Mfinyanzi huu no jiwe hata moja.
Hivi samahani wewe ni uzuri wako au picha??? Unapoambiwa na watoto wa kuume usisome wala kukomet usikii haya watu watakupenda uanze kutoa michozi
 

Mtoto una maneno utadhani william shakespear.
Aminia Theregetitherengeti.
 
Nitamshukuru mungu kwa kunipa second chance with wifey; maana ikifikia unanyolewa kona hali inakuwa sio hali tena!
 

He he he heeeeeeee... kwi kwi kwi kwi..... duh!
 
unamwambia subiri nakuja unaingia chumbani unakata nywele za kichwani halafu unatoka umejifunga taulo na mkasi mkononi, akikukagua unamwambia nimenyoa sasa hivi na mav..i yapo chumbani twende ukaone ! Ushahidi tosha unaenda kuchekea ******!

Imagine ni siku ya jumamosi, umepita salon ukanyoa nywele ndo ukaenda huko... na umenyoa wanaita nini vile... unga sijui ****?
 
Kazi ndogo sana hiyo,ningekuwa mimi ningemwambia subiri nikuonyeshe suprise,huku navua,hata kama kakasirika,namwambia kuna rafiki yangu kanipeleka saluni,kunyoa haya mananilii,sababu nilimuelezea kuwa nyembe zinanitoa upele,kwenda saluni kumbe kinyozi ni yule dada flani(huyo aliyepiga simu),alipo maliza ninyoa aliniambia atakupigia simu ili unichunguze,vipi bado hajakupigia?Lakini mke wangu si unaona hapa hajanichonga,subiri nimpigie simu nimwambie kesho niende akanirekebishe!!!Ni rahisi kama hivyooo!!
 
hahaha, nyumba ndogo hatari zana. aliingije kwenye simu mpaka kupata namba ya mkeo. Mukome kusevu namba za wake zenu kama wife. ifanye iwe special ila usiweke eti wife, lovely wife, honey etc. mtaumbuka jamani. udhungu huooooooooo! umemponza jamaa.
 

Nisingevua na ningeondoka home nikarudi midae kalala...bora asikukamate hapo hapo mkuu maana vita itakuwa si ndogo
 

Hahahahahahahahah thanks Mkuu....this is so funny....LOL! Huna hujanja hapo sijui utajibu nini hapo labda ni kuanza kuomba samahani tu ili nyumba kubwa isivunjike....hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…