Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,077
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?
 
Ungeomba Mungu ziote gafla.

This is funny! lol
 
Mm mwanamke nimesoma sana,ndo mkome,huyo mwanamke shujaa jamaa atatulia hme kwake!
 
ningemshukuru sana Mungu kwa jambo hilo...........

huo ndio wakati muafaka wa ukata mzizi wa fitina. unasema ukweli kuanzia a-z na unaomba msamaha. na ukikutana na huyo hawara unamwambia umemuacha mojakwa moja kwa sababu ya kutaka kuwachonganisha na mkeo na sasa umetambua hila yake. mmemalizana jumla. .....................
 
dah stori kama izi zinafaa ijumaa!! Kama mlioga pamoja asubuhi utakua huna la kusema!
 
Sasa hiyo nyumba ndogo si imejikosesha yenyewe mpunga.
Mi ningekuwa huyu bwana playa, ningemuomba wife msamaha kisha kwa yule nyumba ndogo nisingerudi tena maana anataka kuniharibia ndoa
 
Wala sielewi,kwani si nna kaka na mafriend men!so lazima nisome ili niwaambie

hhehee sasa utawaambia lipi.,...wasikubali kunyolewa nje ya kiwanja cha nyumbani, au namna ya kudanganya litakapobumbuluka!😀
 
dah stori kama izi zinafaa ijumaa!! Kama mlioga pamoja asubuhi utakua huna la kusema!

Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!
 
Ntamuambia awe anaona aibu kumvul;ia kila mtu,amvulie alienae tu maana akivua kwa kila mtu hajiaibishi yy tu bali na yule alienae,ona sasa huyo poyoyo alikuwa hajanyoa!
hhehee sasa utawaambia lipi.,...wasikubali kunyolewa nje ya kiwanja cha nyumbani, au namna ya kudanganya litakapobumbuluka!:d
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

That would have killed me psychologically!🙄
 
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?

Mara ya mwisho Bi Mkubwa kumnyoa jamaa Naniii ilikuwa lini? Huenda hajawahi hata mara moja!
 
hapo unasema siku hizi kuna
saloon za kisasa,wanawake
wananyoa mpaka huko chini.
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!
na mwingine huyu lol!!!!
 
Back
Top Bottom