Kwa wanaume tu.

Kwa wanaume tu.

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Kuna kijana hapa nammentor kaniuliza swali ambalo limekuwa gumu kwangu sababu sijawahi experience hii kitu, anadai anahisi girl friend wake anatumia ama materials au chemicals zinazofanya uke wake ubane kiasi kwanza wakati wa kumuingilia analazimika kutumia nguvu sana kiasi cha kupata maumivu makali, sasa anadai kuna kipindi inakuwa hivyo na kunakipind likely ambacho binti ajachakachua kitu inakuwa kama vile maji yaani ni chubwi ndani, anauliza kama hii haiwezi kumletea madhara.

wenye uelewa naomba msaada.
 
Pole kaka.
Made in Shanghai. Maambukizi nje nje. Ila naona tuawapresha sana Wanawake!
Unafikiri bila siye wangekuwa wanahangaika na hayo makitu!

Ameshaongea naye?
 
Pole kaka.
Made in Shanghai. Maambukizi nje nje. Ila naona tuawapresha sana Wanawake!
Unafikiri bila siye wangekuwa wanahangaika na hayo makitu!

Ameshaongea naye?

Hapana mkuu, kijana anakufa kisabuni bado.
 
ko hii jinsia nyingine hatutakiwi kusema chochote?
cos in one way or another tunahusika katika hiyo ishu

Of course majibu yenu yatakuwa biased, nasidhani kama wakati mnafanya huwa mnaangalia side effect kwa upande wa pili (kama zipo)
 
umenifumba mdomo ngoja nipite kimya.
ila ajua kila kitu kwenye hoja hii.
 
Mkuu hebu ruhusu wanawake kuchangia maana wana kitu wanataka kushare ila kichwa cha uzi wako kinawabana.
 
Kuna kijana hapa nammentor kaniuliza swali ambalo limekuwa gumu kwangu sababu sijawahi experience hii kitu, anadai anahisi girl friend wake anatumia ama materials au chemicals zinazofanya uke wake ubane kiasi kwanza wakati wa kumuingilia analazimika kutumia nguvu sana kiasi cha kupata maumivu makali, sasa anadai kuna kipindi inakuwa hivyo na kunakipind likely ambacho binti ajachakachua kitu inakuwa kama vile maji yaani ni chubwi ndani, anauliza kama hii haiwezi kumletea madhara.

wenye uelewa naomba msaada.

Huyo mrembo atakuwa anatumia sabuni za kichina zinafanya kei kuwa mnato
 
Huyo mrembo atakuwa anatumia sabuni za kichina zinafanya kei kuwa mnato

Sawa sawa, lakini kwa maelezo ya kijana inaonekana mnato anaokutana nao yeye ni extreme.
 
busara ni kumwonyesha njinsi ambavyo anapoteza wachangiaji na kubaki na wachakachuaji wa uzi kama mimi na wewe.

Nilidhani utakuwa concerned na madhara ya matumizi ya hizo sababu kwa wadada?
 
Back
Top Bottom