Kwa Wanaume tu

Kwa Wanaume tu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,790
Reaction score
6,995
Wakuu,tupeane vesi za kujinasua katika wakati mgumu.

Hivi umewai kuchati na madem wawili kwa wakati mmoja,alafu ukakosea ukachanganya msg ya Dem A ukamtumia B.

Alafu msg yenyewe ikawa ngumungumu kidog, duuh!.

Tujuzane humu jinsi ya kufix hasira za hawawatu,nina missing call 60 ndani ya dakika 20.

Kila stori ninayotaka kuiunganisha na hii msj apa Ili ionekane kwamba nilimtumia yeye inabuma naona ntazidi kuharibu.
 
Achana na mapenzi
Tafuta hela mkuu
 
Kuna siku nilijichanganya nilikuwa hoi nasinzia nikakosea kutuma sms badala ya kumtumia aisha nikatuma kwa Ally, usingizi ulikata wote jamaa alipiga hapo hapo ila alinielewa maelezo yangu.

Nilishakosea tena kwa ke wangu, nilimuita Gift nilikuwa nachat na Gift pia, akashtuka akapiga simu kulalama nikamwambia '"you are my gift from God, very precious gift" wala sijakosea chochote kesi ikaishia hapo.

Ila ile ya kumtaja ke mwingine jina mchezoni ndio ilizika penzi jumla.
 
Back
Top Bottom