Kwa wanaume tu

It's a trap

Tena kwa mifano hai,
Tumejaribu kuonywa Sana kuhusu uwezo wa izi ma traps ... Fikiri
Kuhusu mtu ka samsoni alafu eti trap ilimnasa๐Ÿคซ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ
 
Akili haijawa kudumaa au kukosa kufikiri eti kisa uko alone...
Tunaona tu ili kuzibiti mihemko ya zinaa ,na kuleta jamii pamoja tofauti na hapo ,hakuna madhara, adhabu wala sheria itakayo kukataza kuishi single...
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna!๐ŸŽค๐Ÿ“ข๐Ÿ“ขvijana tuoe maisha ni haya haya
 
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna!๐ŸŽค๐Ÿ“ข๐Ÿ“ขvijana tuoe maisha ni haya haya

Ngoja nikupatie baadhi yao...
Sir Issac Newtown.
Nickolas Telsa.
Leonard o Da vinc.
Papa wote wa romani.
Albart estan.
Michalengelo.
Jesus Chris..
Mtume Muhammad'
Yani mkuu kiufupi familia Ina kunyima kutumia uwezo wako wote wa kufikiri, kutafakari yale yakupasayo kufanya
Ndoa ni kifungo...๐Ÿคซ๐Ÿ™Š๐Ÿ™‰
๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™‚๏ธMbeleee
 
sawa mkuu ngoja me ningie kwenye icho kifungo nimechoka maisha ya usela๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ