Kwa wanaume Tu!

Inabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.
Hapo atakula kirahisi ...me pia mademu wengi nimewapata kupitia mbinu ya kuwadanganyia vitu km vizawadi...mapema tuu wakachanua miguu
 
Kumbuka ulishasema sio wote na mimi sio mmoja wao.
Hata mimi naunga mkono.
kuna wanawake wana staha,sema vijana hawajapewa jicho la 3 la kuwaona,acha tuliowapata tufaidi
 
Bila Sound Mob. watoto wazuri utawaota tu... Women like potentiality
 
Hata mimi naunga mkono.
kuna wanawake wana staha,sema vijana hawajapewa jicho la 3 la kuwaona,acha tuliowapata tufaidi
Ndio muwaelekeze wajue mapenzi sio udanganyifu wa visivyoonekana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…