Kwa wanaume Tu!

Inatakiwa uangalie na uongo wenyewe sasa huo alioufanya huyo mwenzio una faida au hasara?
Ye kaona una faida ndo maana anasema huyo demu sahv ndo anampigia jamaa simu na SMS kila SAA kisa tuu kadanganywa et kuna zawadi ameandaliwa... Dah sasa hapo kaz c ishaisha .....labda jamaa ashindwe kumalizia hiyo movie
 
Ebu badilisha heading na uweke KWA WAVULANA TU.
Kimsingi hakuna mwanamume mwenye tabia za kijinga kama hizi aiseeeee.........
 
Tai,moka,marashi makal,simu kubwa.utawamaliza
 
Ye kaona una faida ndo maana anasema huyo demu sahv ndo anampigia jamaa simu na SMS kila SAA kisa tuu kadanganywa et kuna zawadi ameandaliwa... Dah sasa hapo kaz c ishaisha .....labda jamaa ashindwe kumalizia uzi
Shida sio kupigiwa je hicho kilichomfanya apigiwe anacho?
 
Ebu badilisha heading na uweke KWA WAVULANA.
Kimsingi hakuna mwanamume mwenye tabia za kijinga kama hizi aiseeeee.........
Sema wewe wanajua mapenzi ni uongo hawajajua uongo una faida usipojulikana ukishajulikana unaharibu kila kitu.
 
Shida sio kupigiwa je hicho kilichomfanya apigiwe anacho?
Wanawake asilimia kubwa wanapenda vitu vizuri ... So ukimshawishi kupitia vitu vizur vizur hata km umeazima ..ni rahisi kumpata...ndo maana unaona mjin wanapewa magar ya kulia bhata bila card mwisho wa siku baada ya kutumika wananyang'anywa Mali za watu wanabaki na njaa zao..*note sio wote wako hivyo ila wengi wao
 
Nimefungua najua ni issue ya wanaume kweli kumbe ya wavulana.
Tena wanavimbishana kichwa bila kuwaza faida na hasara hapo wanajua mwenzao kapata kumbe kajitengenezea mazingira ya kudharaulika na kukosa ata hicho alichokikusudia.
 
Tena wanavimbishana kichwa bila kuwaza faida na hasara hapo wanajua mwenzao kapata kumbe kajitengenezea mazingira ya kudharaulika na kukosa ata hicho alichokikusudia.

Asikuwazishe huyo achana naye na story za kutunga, vipi weekend ilikuwaje?
 
Afadhali hao wanakuwa hawajadanganya wametumia mbinu zinazoonekana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…