miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Ubwege tu huo...!!
ukijaribu utapata jibu unileteeHahahaaa.... ushambaa na Ulimbukeni tu....
ila mimi sijawahi kuyafanya hayo mapenzi pengine ndo maana jibu langu linaweza lisiwe sahihii...:cool2:
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamaniNi jambo la kushangaza kidogo kwanza kwenda kukaa kijiweni na kusema yule dada yule nishatembea nae na yuko hivi na hivi
Kwa wengine ni kujionyesha namna alivyo kidume mtaani kiasi cha kuweza kuwapitia wanawake kadhaa au wazuri au wagumu wanaowasumbua watu mtaani ila sioni kama ni la maana kutangaza kuwa huyu na huyu nimetembea nae
yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....Kuna watu wanasimulia hadi aibu naona mimi
ha ha ha so your proud of using it?ni ufahari.... especialy ukiwa kijana na damu inachemka!!! hizi dushe hatujapewa kukojolea tu na kugegeda ni mojawapo ya kazi and we are proud of that
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani
Ok...mimi nimesoma tu sijachangia
ni kweli msifanye hivyoSiwezi najua issue ya love making is private na tulifanya kwenye private place bila mtu mwingine kuhusika
Ya nini ukamtangaze kijiweni kuwa nimetembea na yule na yule au yule dada usimuone hivi anaringa hana lolote yuko hivi na hivi inasaidia nini sasa
Sana sana unajidhalilisha na kumdhalilisha mhusika
Huyu mwanamke anapotea sana.... Za masiku?