Dah!!! Ngoja tuone watu kama wata-share experience kweliWakuu
Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini mapenzi huwa yanapaswa kufuata mkondo, let alone dhana ya 'ulinzi wa penzi'
Kuna vitu tumekubaliana kimsingi katika kutokukubaliana japo wengine tumekubaliana kwamba dhana ya nyumba ndogo ipo na itaendelea kuwepo na ilikuwepo,...mifano ipo....hapa sitaki niwe subjective hata kidogo
So...sisi kama wanaume....inapokuwa sasa okay ngoja nijenge "nyumba ndogo"...ni vitu gani hasa unakuwa unaangalia?
Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?
- Je, nyumba yenyewe inakuwa 'ndogo' in the real sense ya neno lenyewe? (lets say kiumbo?)
- trend iko vipi, zonazokuwa preferred ni zile tulizopishana nazo umri sana, (lets say 10 years), tulio sawa au waliotupita? au havihusiani kabisa?
Karibuni tushee maexperience hapa......
Vp na zile za wenzetu waislam? Zinatambulika kisheria, zinamamlaka yote na mume bt bado zinaitwa nyumba ndogo. Why babu?Hommie, hivi leo lini vile?
Orayt.....
ODM anaamini nyumba ndogo ni udogo kwa maana ya kimamlaka/kirasmi..... Ina mamlaka ndogo zaidi katika jamii inayomzunguka mjengaji kuliko mama mwenye nyumba kubwa. Ndo maana nyumba ndogo hujengwa kwa kujifichaficha, haiwi rasmi na haina mamlaka mbele ya jamii inayomzunguka juu ya mjengaji. Na raha zaidi hata yenyewe inajijua kuwa haina mamlaka ndo maana italazimika kumjua nyumba kubwa ili iweze kujificha isije kubomolewa mbali..... Hapa haihusu umri wala umbile hommie.
Zile haziitwi nyumba ndogo bali "mke mdogo"Vp na zile za wenzetu waislam? Zinatambulika kisheria, zinamamlaka yote na mume bt bado zinaitwa nyumba ndogo. Why babu?
Ngoja tumsubiri babu Asprin, labda yeye anaeza kuwa na jibu... Lazima kuna mahali hilo neno 'nyumba ndogo' lilianzia.Mi ndo nikawa nataka kupata jibu nini hasa chanzo chake....
Kitu kinachonifurahisha juu ya ODM na Kaizer ni kwenye mada hizi wanakuwaga makini sana.
Nyie watu hebu fungueni kituo cha ushauri juu ya hii ishu. Mtakula pesa ndefu mjue.
Na wewe unafanya nini huku kwenye sredi ya wanaume?Kitu kinachonifurahisha juu ya ODM na Kaizer ni kwenye mada hizi wanakuwaga makini sana.
Nyie watu hebu fungueni kituo cha ushauri juu ya hii ishu. Mtakula pesa ndefu mjue.
Shikamoo! Nashukuru kwa ufafanuzi. Haya tuambie nyumba ndogo chanzo chake ni wapi?...Zile haziitwi nyumba ndogo bali "mke mdogo"
Afu mbona leo hujanisalimu?
Hommie, hivi leo lini vile?
Orayt.....
ODM anaamini nyumba ndogo ni udogo kwa maana ya kimamlaka/kirasmi..... Ina mamlaka ndogo zaidi katika jamii inayomzunguka mjengaji kuliko mama mwenye nyumba kubwa. Ndo maana nyumba ndogo hujengwa kwa kujifichaficha, haiwi rasmi na haina mamlaka mbele ya jamii inayomzunguka juu ya mjengaji. Na raha zaidi hata yenyewe inajijua kuwa haina mamlaka ndo maana italazimika kumjua nyumba kubwa ili iweze kujificha isije kubomolewa mbali..... Hapa haihusu umri wala umbile hommie.
Afu we imekuwaje........ mi ndo nshakuwa mtaalamu wa nyumba ndogo siyo?Ngoja tumsubiri babu Asprin, labda yeye anaeza kuwa na jibu... Lazima kuna mahali hilo neno 'nyumba ndogo' lilianzia.
Afu we imekuwaje........ mi ndo nshakuwa mtaalamu wa nyumba ndogo siyo?
Orayt Sweetlady na Hommie
Nyumba ndogo kwa muktadha huu ni udogo wa umri katika matumizi ya baiolojia ya mjengaji......
Kama nimemchukua Keren Happuch mwaka huu, wakati mwakajana jana nlishakuwa na Sweetlady, automatically Keren Hapuch atakuwa na umri mdogo wa matumizi ya baiolojia yangu kulinganisha na Sweetlady..... hence automatically K_H atakuwa nyumba ndogo........... umenielewa hapo eh?
Hivi waweza ulizia chanzo cha shina wakati mizizi waiona..... Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja.... Ndio chanzo/sababu kuu.... Hivi tuking'ang'ania mwanamke mmoja, hao wanawake wengine waliokosa wanaume wa kuwalala, nani atawatiisha kiu yao?Shikamoo! Nashukuru kwa ufafanuzi. Haya tuambie nyumba ndogo chanzo chake ni wapi?...
Haahahah....Hope Gaijin hatasoma hiyo..... Hapa tunazungumzia nani ana muda mrefu zaidi wa kuiona baioloji yangu............... Ni sawa na tunapokuwa vyuoni, first year ataendelea kuitwa first year hata kama umri wake umemzidi aliye second year....... Age aint nothing bana!hommie watch out,,,nilidhani unasema 'kwa mfano'......dah
Biologia ya mjengewa je haihusu? cause K_H anaweza kuwa na uzoefu mdogo wa matumizi lakini kiumri kamzidi SL je?