Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,321
17,821
Wakuu

Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini mapenzi huwa yanapaswa kufuata mkondo, let alone dhana ya 'ulinzi wa penzi'

Kuna vitu tumekubaliana kimsingi katika kutokukubaliana japo wengine tumekubaliana kwamba dhana ya nyumba ndogo ipo na itaendelea kuwepo na ilikuwepo,...mifano ipo....hapa sitaki niwe subjective hata kidogo

So...sisi kama wanaume....inapokuwa sasa okay ngoja nijenge "nyumba ndogo"...ni vitu gani hasa unakuwa unaangalia?
  • Je, nyumba yenyewe inakuwa 'ndogo' in the real sense ya neno lenyewe? (lets say kiumbo?)
  • trend iko vipi, zonazokuwa preferred ni zile tulizopishana nazo umri sana, (lets say 10 years), tulio sawa au waliotupita? au havihusiani kabisa?
Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?

Kingine...ni wakati gani hasa nyumba inakuwa rasmi nyumba ndogo.....kutofautisha na a one nite stand lets say....au kafling ka siku mbili...ni mwaka? mwezi? au wiki? au material investments? factors zipi zinadetermine kuwa ''sasa hii ni nyumba ndogo'" kwa mtizamo wa kijamii?
Karibuni tushee maexperience hapa......
 
ahahah Kaizer umenichekesha sana

Nitapita baadae kuja kuangalia sifa za nyumba ndogo
 
No! Kaizer.. Hata kama nyumba ndogo ni kubwa kiumri na kiumbo zaid ya mkeo, bado inaitwa nyumba ndogo, kwani hilo neno nyumba ndogo chanzo chake ni wapi?
 
Hommie, hivi leo lini vile?

Orayt.....

ODM anaamini nyumba ndogo ni udogo kwa maana ya kimamlaka/kirasmi..... Ina mamlaka ndogo zaidi katika jamii inayomzunguka mjengaji kuliko mama mwenye nyumba kubwa. Ndo maana nyumba ndogo hujengwa kwa kujifichaficha, haiwi rasmi na haina mamlaka mbele ya jamii inayomzunguka juu ya mjengaji. Na raha zaidi hata yenyewe inajijua kuwa haina mamlaka ndo maana italazimika kumjua nyumba kubwa ili iweze kujificha isije kubomolewa mbali..... Hapa haihusu umri wala umbile hommie.
 
Mi ndo nikawa nataka kupata jibu nini hasa chanzo chake....
 
Wakuu

Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini mapenzi huwa yanapaswa kufuata mkondo, let alone dhana ya 'ulinzi wa penzi'

Kuna vitu tumekubaliana kimsingi katika kutokukubaliana japo wengine tumekubaliana kwamba dhana ya nyumba ndogo ipo na itaendelea kuwepo na ilikuwepo,...mifano ipo....hapa sitaki niwe subjective hata kidogo

So...sisi kama wanaume....inapokuwa sasa okay ngoja nijenge "nyumba ndogo"...ni vitu gani hasa unakuwa unaangalia?
  • Je, nyumba yenyewe inakuwa 'ndogo' in the real sense ya neno lenyewe? (lets say kiumbo?)
  • trend iko vipi, zonazokuwa preferred ni zile tulizopishana nazo umri sana, (lets say 10 years), tulio sawa au waliotupita? au havihusiani kabisa?
Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?

Karibuni tushee maexperience hapa......
Dah!!! Ngoja tuone watu kama wata-share experience kweli
 
ahahah Kaizer umenichekesha sana

Nitapita baadae kuja kuangalia sifa za nyumba ndogo

Naona umeshanifahamu...(hivi hukuona pale pameandikwa kwa wanaume tu ama basi raha yako unchokoze...LOL)
 
Hommie, hivi leo lini vile?

Orayt.....

ODM anaamini nyumba ndogo ni udogo kwa maana ya kimamlaka/kirasmi..... Ina mamlaka ndogo zaidi katika jamii inayomzunguka mjengaji kuliko mama mwenye nyumba kubwa. Ndo maana nyumba ndogo hujengwa kwa kujifichaficha, haiwi rasmi na haina mamlaka mbele ya jamii inayomzunguka juu ya mjengaji. Na raha zaidi hata yenyewe inajijua kuwa haina mamlaka ndo maana italazimika kumjua nyumba kubwa ili iweze kujificha isije kubomolewa mbali..... Hapa haihusu umri wala umbile hommie.
Vp na zile za wenzetu waislam? Zinatambulika kisheria, zinamamlaka yote na mume bt bado zinaitwa nyumba ndogo. Why babu?
 
Kitu kinachonifurahisha juu ya ODM na Kaizer ni kwenye mada hizi wanakuwaga makini sana.
Nyie watu hebu fungueni kituo cha ushauri juu ya hii ishu. Mtakula pesa ndefu mjue.

Orait..

Ninachowaulzia wanaume wenzangu ni whether kama kuna influence ya umri au udogo wa umbo katika kuichagua nyumba yenyewe (hizo kama factors ), ili nione kama kuna correlation hapo na jina lenyewe 'nyumba ndogo'..

sasa hapa wwakuu wameongelea kijamii zaidi so nasubiri mawazo mengine

Ivi MJ1 dear hapa nimesema kina nani? anyway nakuruhusu toa maoni yako....
 
Hommie, hivi leo lini vile?

Orayt.....

ODM anaamini nyumba ndogo ni udogo kwa maana ya kimamlaka/kirasmi..... Ina mamlaka ndogo zaidi katika jamii inayomzunguka mjengaji kuliko mama mwenye nyumba kubwa. Ndo maana nyumba ndogo hujengwa kwa kujifichaficha, haiwi rasmi na haina mamlaka mbele ya jamii inayomzunguka juu ya mjengaji. Na raha zaidi hata yenyewe inajijua kuwa haina mamlaka ndo maana italazimika kumjua nyumba kubwa ili iweze kujificha isije kubomolewa mbali..... Hapa haihusu umri wala umbile hommie.

sawa hommie hapo nimekupata maana ya kijamii

lakini kwa maana yetu ile inakuwaje hapo.....ivi kwa mfano ODM yuko na lets say 25 yrs, akawa na 'nyumba' ndogo ya 35 years, katika maana ile ile, ya kijamii ni nyimba ndogo...BUT....kwako wewe binafsi...utaiita kweli nyumba ndogo? LOL

Hivi BlackBerry si nilishasema aandikishwe mbona faili lake sijaliona....huyu St RR?
 
Ngoja tumsubiri babu Asprin, labda yeye anaeza kuwa na jibu... Lazima kuna mahali hilo neno 'nyumba ndogo' lilianzia.
Afu we imekuwaje........ mi ndo nshakuwa mtaalamu wa nyumba ndogo siyo?

Orayt Sweetlady na Hommie

Nyumba ndogo kwa muktadha huu ni udogo wa umri katika matumizi ya baiolojia ya mjengaji......

Kama nimemchukua Keren Happuch mwaka huu, wakati mwakajana jana nlishakuwa na Sweetlady, automatically Keren Hapuch atakuwa na umri mdogo wa matumizi ya baiolojia yangu kulinganisha na Sweetlady..... hence automatically K_H atakuwa nyumba ndogo........... umenielewa hapo eh?
 
hommie watch out,,,nilidhani unasema 'kwa mfano'......dah
Biologia ya mjengewa je haihusu? cause K_H anaweza kuwa na uzoefu mdogo wa matumizi lakini kiumri kamzidi SL je?
 
Shikamoo! Nashukuru kwa ufafanuzi. Haya tuambie nyumba ndogo chanzo chake ni wapi?...
Hivi waweza ulizia chanzo cha shina wakati mizizi waiona..... Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja.... Ndio chanzo/sababu kuu.... Hivi tuking'ang'ania mwanamke mmoja, hao wanawake wengine waliokosa wanaume wa kuwalala, nani atawatiisha kiu yao?
 
hommie watch out,,,nilidhani unasema 'kwa mfano'......dah
Biologia ya mjengewa je haihusu? cause K_H anaweza kuwa na uzoefu mdogo wa matumizi lakini kiumri kamzidi SL je?
Haahahah....Hope Gaijin hatasoma hiyo..... Hapa tunazungumzia nani ana muda mrefu zaidi wa kuiona baioloji yangu............... Ni sawa na tunapokuwa vyuoni, first year ataendelea kuitwa first year hata kama umri wake umemzidi aliye second year....... Age aint nothing bana!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom