Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Wakuu
Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini mapenzi huwa yanapaswa kufuata mkondo, let alone dhana ya 'ulinzi wa penzi'
Kuna vitu tumekubaliana kimsingi katika kutokukubaliana japo wengine tumekubaliana kwamba dhana ya nyumba ndogo ipo na itaendelea kuwepo na ilikuwepo,...mifano ipo....hapa sitaki niwe subjective hata kidogo
So...sisi kama wanaume....inapokuwa sasa okay ngoja nijenge "nyumba ndogo"...ni vitu gani hasa unakuwa unaangalia?
Kingine...ni wakati gani hasa nyumba inakuwa rasmi nyumba ndogo.....kutofautisha na a one nite stand lets say....au kafling ka siku mbili...ni mwaka? mwezi? au wiki? au material investments? factors zipi zinadetermine kuwa ''sasa hii ni nyumba ndogo'" kwa mtizamo wa kijamii?
Karibuni tushee maexperience hapa......

- Je, nyumba yenyewe inakuwa 'ndogo' in the real sense ya neno lenyewe? (lets say kiumbo?)
- trend iko vipi, zonazokuwa preferred ni zile tulizopishana nazo umri sana, (lets say 10 years), tulio sawa au waliotupita? au havihusiani kabisa?