Samahan muandishi ii haikuhusu wew bt nilkua najikumbushia kipaji cha kuandik mistari[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Ukiamua kukaza kaza mpk mwisho
Na ukiamua kutoa toa mpk jicho
Wakuu ni miaka miwili toka tuamue kusitisha uwizi wetu uliotukuka.Mimi na mchepuko wangu tuliamua kila mmoja wetu aelekeze mapenzi kwa mwenzie wa ndoa,yeye bado hajahalalisha ndoa.tulikaa kwa mda mrefu tukasahauliana,sasa miezi ya hivi karibuni ameanza kunitafuta kwa nguvu sana,akidai amemisi mautamu.Mimi nilishamsahau ila baada ya calls zake za kila siku, naaza kulegea na kulegeza msimamo,ushauri nimkubalie au nimpotezee?
Mkuu lugha gani iyo?Kibombo kya nyoko
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji38]Endelea kulegea maana na nanii nayo italegea hivyo hutaweza kumshughulikia utakuwa umesevu😀
He is a master of the gameMkuu lugha gani iyo?
UYo mzee kwa profile yako jana alikuwa na bonge ya movie ITV huwa namkubali sana .Kuna siku mkewe aliwa kuwa kidnaped jamaa wanataka mkwanja walipokuja akawauliza mshamuua?Jamaa wakachoka na Mkwanja hawakupata.