Kwa wanaume Tu....I fainally Got....

No comment....:fencing::fencing::fencing:

What a good news for me jamani!!???!!!
Hatimaye umejisalimisha mwenyewe
Ahsante Mchungaji kwa kitabu, bibie mrembo kajileta mwenyewe
Weekend ntakuwa nae pale Paradise Hotel tunapeana mawili matatu, then tutahamia Holiday Inn

Kaizer alie tu, pole zake.
Hajui kwamba mambo yote ni maujuzi, sio maneno maneno tu
Najinyakulia mdada wa haja kiulaiiiiiiiiiiiiiniiiiiiiiiiiiiii
Heh he hehe he he
Masharobaro watakoma
 
we we we!!! Hivi unajua niko na sweet K hapa, yupo tu chumba cha pili ndo maana - Nilikua nini maana NO COMMENT kua huelewi hivyo niache tu!! Ngoja niite majeshi yangu... :help::help::help::help:
 
we we we!!! Hivi unajua niko na sweet K hapa, yupo tu chumba cha pili ndo maana - Nilikua nini maana NO COMMENT kua huelewi hivyo niache tu!! Ngoja niite majeshi yangu... :help::help::help::help:

Uko na Kaizer wa wapi weweeee!
K nipo nae hapa ofisin amekuja kuomba kazi ya kufagia, nampiga maswali ya kufa mtu mpaka ananitolea mimacho tu
Namuuliza ataje aina 2 za mifagio ya kisukuma anabaki ameduwaa tu, wakat kaniambia yeye msukuma

Hakuna cha Help hapa wala nini, unafikiri kuna kikaragosi atakae sogea akiona ni CPU anarekebisha???
Ngoja nimalizie na Conclusion ya kitabu ndo utaoza kabisa
 
What a good news for me jamani!!???!!!
Hatimaye umejisalimisha mwenyewe
Ahsante Mchungaji kwa kitabu, bibie mrembo kajileta mwenyewe
Weekend ntakuwa nae pale Paradise Hotel tunapeana mawili matatu, then tutahamia Holiday Inn

Kaizer alie tu, pole zake.
Hajui kwamba mambo yote ni maujuzi, sio maneno maneno tu
Najinyakulia mdada wa haja kiulaiiiiiiiiiiiiiniiiiiiiiiiiiiii
Heh he hehe he he
Masharobaro watakoma
Kiongozi naangalia nyendo zako ukisikia umejumlishwa kwenye kesi za hujumu uchumi usishangae
 
Kiongozi naangalia nyendo zako ukisikia umejumlishwa kwenye kesi za hujumu uchumi usishangae

Kwa uchumi huu, acha nihujumu tu. Potelea mbali
Uchumi umenona huu, dume lolote rijali lazima uvunje shingo
 
Kijana lazima uwe na kopi hawa wenzetu kuwaelewa ni ngumu sana!

There you are Rev.....kuna thread nilianzisha kule they speak and you understand that you need to do it more ili kuweza kuwaelewa na kuendana nao.......But they are fantastic hah!! au sio Rev.....

By the way Ahsante kwa buku hili japo kale tu ka-Kalulu the Hare nilikasoma Two Years japo ni page kama 10 hivi hahaaa.....
 
umenikumbusha kitabu kimoja kikubwa sana lakini useless kabisa kwa tuliosoma baiolojia.. the name was Vines and Rees... volume I and II

Mkuu umenikumbusha long time kitambo......... hili lidude (Mkate) lilinifanya nikakimbia PCB kukimbilia PCM lol!!
 
Kwenye kitabu nimeambiwa nikushushie na wimbo mtaaaamu
For you Asha D
Check it out Baby

Last edited by a moderator:
Mkuu unajua Keko and Segerea sio kuzuri kweli au wewe hilo haulioni lol!!!!

Komredi wangu
Mi sio wa kwanza kwenda Keko au Segerea
Kaka angu mtoto wa Shangazi ame-enjoy life Keko miezi 8
Nitahakikisha simkosi huyu mdada
Hakya nani tena . . . .
Liwalo na liwe
 
Mkuu unajua Keko and Segerea sio kuzuri kweli au wewe hilo haulioni lol!!!!

TF nimegundua kua huyu hatakiwi maneno, hiyo mipango inabidi kufanya kwa ACTIONS.... Usije pata headache nawewe pia... Unaonaje Mpotezee!! what do you think???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom