BSL
Member
- Dec 15, 2018
- 86
- 98
Nianze na tafakuli hii ,wanaume hivi ni sawa kuwa tunawaza mapenzi tuu muda wote
maana wakati mwingine huwa na shangaa sana unamkuta mwanaume kamili anawaza ngono tu kila wakati na hii inadhibitishwa na jinsi wanaume wanapokutana na mdada mkali iwe ndani ya usafiri wa umma au kwenye maduka na sehemu zingine ,kwa nyakati hizi usishangae ukakuta wanaume wanatumia muda mwingi kuelezana mambo ya ngono ,je nn wanaume kimewapata kwa nn ngono ipewe kipaumbele sana katika maisha ya sasa,