Kwa wanaume mliooa je! Wewe ungefanyaje?

Kwa wanaume mliooa je! Wewe ungefanyaje?

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Wewe ni mwanaume umeoa, ni weekend, ulienda kazini, baada ya kutoka una miadi na totos unaamua ukutane naye nyumbani kwa mshikaji wako ambaye hajaoa, mnaenda mnafanya mambo yenu chumbani kwa mshkaj wako.

Kwakuwa ulitumia socks baada ya kumaliza unabeba ule uchafu ili ukautupe chooni bahati mbaya choo iko nje, wakati unaenda nje unakuta wapangaji wa mshkaji wako wamejaa uwani, na unaghaili kwenda.

Unarudi chumbani unaamua kumwaga njiti za kiberiti na kuweka ule uchafu wako kwenye kasha la kiberti na kukitia mfujkoni mwa shati. Mara unatinga home usiku unakuta wife amelala, kwakuwa umechoka unavua nguo unalala.

Asubuhi unaamka unakuta wife kaisha ondoka na kiberti mfukon hakuna nawe unaondoka, badaye anakuutmia msg kuwa mzgo wako katunza atakupa jioni. Je! Wewe ungefanyaje?
 
dah hii noma aisee mi ntamwambia nashukuru nilikuwa nautafutaa niupeleke hospitali kuangalia mbegu ziko poa. hehehehehe
 
Heheheheh ndio maana wakubwa hatutumii sox.
 
dah hii noma aisee mi ntamwambia nashukuru nilikuwa nautafutaa niupeleke hospitali kuangalia mbegu ziko poa. hehehehehe

hakuna jibu zaidi ya hili, tena namchimba mkwara kwamba kanichelewesha hospitali.. kwa nn aondoke nazo bila taarifa yangu.
.
 
Wewe uliwahi kuoa aisee...! Very immature this is...
 
Ha ha ha ha nimechekaje? Yaan umwambie mkeo unapeleka Hosp? Mkeo akikubal kwel zonbi
 
Wewe ni mwanaume umeoa, ni weekend, ulienda kazini, baada ya kutoka una miadi na totos unaamua ukutane naye nyumbani kwa mshikaji wako ambaye hajaoa, mnaenda mnafanya mambo yenu chumbani kwa mshkaj wako. Kwakuwa ulitumia socks baada ya kumaliza unabeba ule uchafu ili ukautupe chooni bahati mbaya choo iko nje, wakati unaenda nje unakuta wapangaji wa mshkaji wako wamejaa uwani, na unaghaili kwenda. Unarudi chumbani unaamua kumwaga njiti za kiberiti na kuweka ule uchafu wako kwenye kasha la kiberti na kukitia mfujkoni mwa shati. Mara unatinga home usiku unakuta wife amelala, kwakuwa umechoka unavua nguo unalala.Asubuhi unaamka unakuta wife kaisha ondoka na kiberti mfukon hakuna nawe unaondoka, badaye anakuutmia msg kuwa mzgo wako katunza atakupa jioni. Je! Wewe ungefanyaje?
hahaaaa! mchepuko noma baki tanroad, dawa ni kumzingua tu kwanini kakuibia sample na doctor kashakupigia simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom