Kwa wanaume: Ikikuuma potezea tu

Asante sana mkuu. Good stuff indeed
 
ni idea ya Benjamin james from FB
kwann usiwe unamtaja mwenyewe kwenye post?
 
ni idea ya Benjamin james from FB
kwann usiwe unamtaja mwenyewe kwenye post?
Jambo la msingi ni maudhui mazuri ya post, hayo ya nani mmiliki wa idea lingekuja kama copyright ingehusika. Pia labda kama huyo Benjamin James ni wewe maana vinginevyo anaweza kuwa ndio mleta post humu anatumia ID hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…