Chifunanga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 290 Reaction score 102 Aug 9, 2011 #1 Kwa wale mnao "ona mbali" nakuamua kuweka petroli majumbani kwenu. Kuweni makini, hiyo kitu ikilipuka madhara yake, ni bora ungekubali kutembea kwa mguu au kupanda baiskeli.
Kwa wale mnao "ona mbali" nakuamua kuweka petroli majumbani kwenu. Kuweni makini, hiyo kitu ikilipuka madhara yake, ni bora ungekubali kutembea kwa mguu au kupanda baiskeli.