Nimekua nikijiuliza Mara nyingi hawa wanaotetea haki za wanawake wanalenga nini hasa! Mara nyingi wanaangalia mambo ya kisiasa na kiuchumi tu eti tuwe 50 kwa 50. Je hapo kweli ndo tutakua sawa?
Ebu tuangalie mambo machache haya. Vipi hili suala la wanawake kuvaa nusu uchi lakini hatusikii hao wanaharakati wakipinga? Je huko sio kumshusha zaidi huyo mwanamke?
Pia yapo mashindano kama ya ulimbwende hivi yana faida gani hasa kwa mwanamke na je, hadhalilishwi kwa hilo? Na vipi suala la kupiga mizinga kwa wanaume je hilo hamzungumzii ili lisiwafanye wawe dhaifu zaidi?
Michango yenu wadau.