kwa wanaotaka video call kwenye simu

kwa wanaotaka video call kwenye simu

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Kwa wale wenye simu zinazo support video call kuna apps Kama skype na fring lakini skype hai support video call kwa baadhi za simu zenye uwezo huo fring Ina support video call kwa platform hizi symbian,iPhone blackberry androids na nyinginezo inapatikana kwenye apps store za hizo simu download na u sign up na uwaambie na wengine wajiunge muweze kuwasiliana through video
 
Na mimi mwenye NOKIA C1 Vp naweza pata hiyo App?@h120
 
Kwa wanaotumia nokia s60 nenda kwenye application ya ovi store utazipata
 
Back
Top Bottom