Usipotoshe ummaWasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.
Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.
Ndoa ni heshima kwenye jamii
Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako
Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika
Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.
NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.
Kwa hiyo hutaki kuolewa?Mm bado nina 23 huu uzi haunihusu
Jamaa anadhani wanaume wote wanaoa wanawake ambao hawajawatiaLazima niionje papuchi kabla sijafanga ndoa, haya mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia sio kabisa
Hyo ni ngumu sana aisee lazima uile kidogo kabla hujaimiliki mazimaJamaa anadhani wanaume wote wanaoa wanawake ambao hawajawatia
Teh
Chukua tahadhari mapema ...Mm bado nina 23 huu uzi haunihusu
Siwezi owa bila kuonja ladha ya papuchi aiseeWasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.
Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.
Ndoa ni heshima kwenye jamii
Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako
Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika
Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.
NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.
Hivi siku hizi kuna Mwanamke wa kuoa Kweli? au Kila siku wanaolewa? Au nikubadilisha Mikao tu?Wasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.
Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.
Ndoa ni heshima kwenye jamii
Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako
Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika
Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.
NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.
MKUU UMENENA VIZURI SANA.ILA NAOMBA KUONGEZEA NENO KTK KUBADILIKA SIO IWE KUIGIZA ILI UOLEWE TU.BADILIKA JUMLA ILI UKIINGIA NDOANI USIRUDIE ABIA ZAKO ZA MWANZO IKAWA NDOA NDOANO .ASANTE MKUU NAWASALISHAWasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.
Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.
Ndoa ni heshima kwenye jamii
Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako
Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika
Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.
NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.
Kwahyo wewe hautaonjwa mpaka uolewe?Wasichana msipokua makini mtaonjwa sana. "mtu akienda sokoni kununua embe dodo, Ata bonyeza kumi na kununua moja"