Fidel castro,che Guevara,Vladimir lennin,Benjamin Franklin...hawa ni kati ya watu maaruf kucheza chess na kufika viwango vya juu so it's not ka as u think io reputation yako uliochukulia kwny movieChess wanachezaga watu wenye ma-stress kwenye movie.
NdioYa jinsi ya kucheza au?
Okay it's basically ivi kuna picha niliituma ya jinsi ubao ilivo...Kila mmoja ana pieces 16 total ni 32 pieces...kila mmoja ana castle wawili,Knight wawili,bishop wawili na King mmoja na queen mmoja na pawns nane...So unlike draft uku ukiangalia board ilivo kwny ile picha nlioattach kwny thread utaona upangaji ni tofauti na draft na pieces znatofautiana unlike draft ambapo utafouti utatokea pale mtu atakapopata king..Kwny chess king wako akiuliwa game imeisha na ndo umefungwa so it's technically kama Vita...It's a very nice gameNdio
Ghkee!!! Telegram tena na sio whatsapp kama ulivyosema!!!Link ipo ya telegram ntaiweka just now