Kwa wanaotaka kuingia jeshini!!!

Naam, kwa ugumu wa maisha na changamto za magonjwa kwa nyakati hizi hii ndio kazi ya kuingia
 
Sioni kama ni ngumu au ya kutisha.
 
Mimi napenda jeshi sana kutoka moyoni..hata wengekuwa wananing'inizwa....ningekubali tu coz I real like it from my heart...!! tatizo hapo ukute umelazimishwa kwenda Jeshini.....
 
Mkuu we ni kama mimi, nasubiri kwenda cadet mwezi ujao, tunahitaji kuikomboa nchi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…