Salute JF!,Kwa wale wavivu wa kufikiri na wafuasi wa Magamba,je ni kweli kwamba serikali inatuaminisha kuwa serikali ya China inatupenda na kutusaidia katika nyanja mbalimbali za kiuchumi?,bila shaka sote tunafahamu matatizo ya matetemeko ya mara kwa mara nchini China kama lile lililotokea juzi na kuharibu zaidi ya makazi elfu kumi,sasa tuulizane kama ni kweli China ina mapenzi ya dhati na Taifa letu hadi kusahau thamani ya wananchi wake,najaribu kujenga hoja kwamba katika mikataba iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Magamba pale Magogoni na Xi Jimping haina 'win win situation' na hili ni janga jingine kwa Taifa katika siku zijazo,pia China haina tofauti na WB na IMF katika vigezo na masharti ya mikataba kwa nchi masikini kama ya kwetu.TATIZO AKILI NDOGO INAONGOZA AKILI KUBWA.