Kwa wanaopenda movies kama mimi!

Nipo kigamboni , nina collection ya kama movie 900 in action, documentary ,comedy ,epic ,fantasy and much more plus documentary, yoyote anayetaka kuexchange hata na asiya na cha ku exchange just feel free to pm me.
ur all well come
 

Yah nimesoma hiki kitabu ..ukicheck na mivie unafaidi ..ila unaona movie in kwa ufupi zaidi ..ila ndio iko hivyo umwezi weka vitu vyote vya kwenye kitabu ktk movie
 
Du kaka umenikumbusha papillon,mwanaume papillon nilisoma novel zake zinazomuhusu ziko kama mbili ingawa ni long sana hadi nimesahau,pia niliona picha yake hadi part 1 je unamweendelezo wa movie zake ,Papillon mfaransa jiwe ni kam vile Prison Break
 

Hapo kwenye red, am curious, hiyo movie inahusu nini?
By the way nina movie nyingi sana, zaidi ya 3,500 (3 external hard disks @ 1TB zote ziko full movies), bahati mbaya nipo nje ya nchi kwa sasa.
 


Hii movie ni kali sana, iliisha kama vile kutakuwa na muendelezo wake lakini hawaku i produce tena
 



MKUU MTT WA KISHUA, MI NAOMBA UNISABABISHIE HIZI NA MI NIANZIE KA MAKTABA KANGU
jeepers creepers 1,2. Nightmare at elm st, The shadow of kilimanjaro, na final destination.
NATANGULIZA SHUKRAN MKUU.
 

ghost is my favourite...
 
Du kaka umenikumbusha papillon,mwanaume papillon nilisoma novel zake zinazomuhusu ziko kama mbili ingawa ni long sana hadi nimesahau,pia niliona picha yake hadi part 1 je unamweendelezo wa movie zake ,Papillon mfaransa jiwe ni kam vile Prison Break

Mi sijaiona jamani, wishing to c it. Nitaitafuta
 
tuwasiliane jamani kwa PM. Mie ninazo kama 420 ivi. Pia kama kuna mtu anazo latest naomba tuazimane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…