Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round lakini napata sms hiii.."DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!. Je hiii sms inamaanisha nini?

Elewa ujumbe vizuri TCU wamesema aombe kama alichaguliwa chuo ambacho hakukiomba mwanzo ila nikijaribu kumuombea ndio wanatoa hiyo sms ambayo inamaanisha kuwa alishakua adimitted swali la msingi ni kwamba wanamaanisha kawa adimitted chuo kingine tofauti na walichomchagua ambacho hakikuwa chaguo lake? au TCU wanamaanisha nini kuwaambia watu waliochaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba waombe upya khari ukiomba wanasema umeshachaguliwa?
so hapa simaanishi kuwa sikuelew lugha bali ni utata wanaotupa hawa TCU