Kama unataka kujua kama umepeta chuo au la! Sign in kwa user name yako tcu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unataka kujua kama umepeta chuo au la! Sign in kwa user name yako tcu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by p_prezdaa, Aug 15, 2012.

 1. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  FANYA HIVI KUJUA KAMA UMEPETA CHUO AU LA!
  Dear Applicants,
  The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".Those who have status "You are Admitted" under their names in the welcome text (top right-near Log Out) should not process application for second round but should be patient for the officially admission announcement from TCU.​
   
 2. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Dear Applicants,
  The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".Those who have status "You are Admitted" under their names in the welcome text (top right-near Log Out) should not process application for second round but should be patient for the officially admission announcement from TCU.​
   
 3. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo kweli tupu. Website ya TCU ndo pekee utapata habari official kuhusu admission!!!!
   
 4. j

  joji19 Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  oyaaaaaaaaaa kama unanzingua flani hivi????????/ au umekosa cha ku-post? hiili jambo unaongelea kuna thraed kibao zimesha sema!!!!!!!! so kama vipi uweunapitia thread nyingine kabla hauja post kitu! yaani kifupi una-boa brother, JIPANGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.................................
   
 5. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Josome ndugu kama unaona haikufai tafuta inayokufaa na sio kujijaza comment zako za ajabu zisizo na kichwa wala miguu me sikurupuki kuweka thread coz najua kuwa watu wasaidiwa nazo ndugu yangu kama umeisoma afu unaona aikupi raha au aukusaidii acha wanao saidiwa nayo watoe mawazo yao n kwa jinsi gani imewasaidia.... Sawa kaka joji19
   
 6. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jisome ndugu kama unaona haikufai tafuta inayokufaa na sio kujijaza comment zako za ajabu zisizo na kichwa wala miguu me sikurupuki kuweka thread coz najua kuwa watu wasaidiwa nazo ndugu yangu kama umeisoma afu unaona aikupi raha au aukusaidii acha wanao saidiwa nayo watoe mawazo yao n kwa jinsi gani imewasaidia.... Sawa kaka joji19
   
Loading...