Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

Mhh mbona maneno matamu hivyo ? kweli ukubwa dawa Jana mke alikuwa anahisi homa nikamwambia cyo homa ila hamu ya utamu nilivyompa mwili ukapoa homa ikapotea.chezea utamu ww
 
Samahan kwan Ulipoamka Baba kasie hakuwepo.? Coz ungemuuliza yeye ingekuw simple kwel
 
Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa

Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umeongopa

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa

Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Ha ha ha ha wewe jipu kabisa.

Wafuma mwikulu........umetokea ikulu.
Mwanawa Ntemi....mtoto wa mtemi/mfalme
Meikulu wangaluka mwanawantemi.... umeamkaje mtoto wa Mtemi??

Kama hujui kinyamwezi tuachie sisi wajukuu wa Mirambo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Unaona shida yenu sasa ? Wewe hujui nia yangu ilikuwa nini kuandika hivyo ..umeshanihukumu bure ila soma hadi mwisho wa uzi ndio utaelewa

[emoji38][emoji38][emoji38]
Na mtoto wenu sijui mjukuu wa mirambo nimeshamnyakua
 
Safi sana. Ntunzage, azwale, alye chiza, anone, abelele yaani apendeze, makofi yaya. Masimango yaya.

Mulungu amsungulile Lubango

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana. Ntunzage, azwale, alye chiza, anone, abelele yaani apendeze, makofi yaya. Masimango yaya.

Mulungu amsungulile Lubango

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Haya ndio mambo sasa nitamtunza na ata nona na kupendeza
Sitompiga makofi wala kumsimanga

Na Mungu atamfungulia milango

Teh teh hichi kinyamwezi hata kama mtu sio myamwezi anaweza kuelewa
Hapo nimepatia ?

Sasa wewe si utakuwa shemeji yangu ?
 
TTC j

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Wamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa

Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Acha uongo
 
Nikikufuma ikulu nikikufuma ikulu nakwangalia kama mlamba asali, kisha nakulamba risasi. Nimejaribu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…