Wadau kadhaa kutokea jamii forum nimefanya nao biashara hakika wamefurahia sana unafuu wa bei ukilinganishwa na eneo vilivyopo viwanja uzuri wake na ukubwa wa eneo. Kuna meter kidogo nje ya zilizopimwa zinajumuishwa ndani ya eneo utakalo uziwa. Ewe mdau wa jf wahi ujipatie kiwanja chako mapema.VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA
Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.
square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini
wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
OFA IMETOLEWA KUTOKA 1m² KWA TSHS 6,500 HADI TSHS 6200.VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA
Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.
square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini
wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Wakuu kwema??OFA IMETOLEWA KUTOKA 1m² 6,500 HADI 6,200.
===============
wahi ndugu ujipatie kiwanja chako hiyo offer imetolewa kwa wateja wa jf, wahi mapema na ukiwa ni Miongoni mwa wateja watatu wa mwanzo baada ya tangazo hiki la offer, tutazungumza na bei itashuka zaidi. Na namna ya malipo tutakubaliana, zaidi tutamsikiliza mteja uwezo wake. KARIBU SANA
Watu wanazidi vinunua viwanja, mwana jf usipitwe, wahi ujipatie kiwanja kilichopimwa kabisa, nipigie simu mda huu tufanye biashara..... Nafasi ni yako sasa.VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA
Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.
square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini
wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Nipende kuwashukuru members wote wa jf wanaonipigia simu wakihitaji viwanja na wengine wakiniulizia kama viwanja bado vipo,VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA
Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.
square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini
wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Mkuu mimi sio dalali, nikuhakikishie hivo na hivyo viwanja ninavyo viuza ni sehemu ndogo tu ya viwanja vyangu nilivyonavyo ndio maana nikimaliza kuviuza vile nilivyopanga niviuze kwa dharura nitatoa mrejesho hapa jf kuwa viwanja vimeisha. Na moja kati ya vitu nilivyovipanga kuviweka sawa ni hilo la udalali, kuwa mimi sio dalali na sikuwahi kuwa dalali. Hivyo nitakapo maliza kuviuza vile nilivyopanga kuviuza nitaleta mrejesho hapa.Hawa ndio madalali wasio takiwa na magu vinatoka viwanja wanawahi na kuvitwaa kisha kuviuza kwa bei mbaya kisha kuleta adha kwa wanaotaka mkuu nishakutia alama nachukuwa namba zako na kuzipeleka kwa wahusika ukamatwe na hatua Kali zichukuliwe dhidi yako na iwe mfano kwa wenye tabia kama yako
Sawa mkuu, tumekupataMkuu mimi sio dalali, nikuhakikishie hivo na hivyo viwanja ninavyo viuza ni sehemu ndogo tu ya viwanja vyangu nilivyonavyo ndio maana nikimaliza kuviuza vile nilivyopanga niviuze kwa dharura nitatoa mrejesho hapa jf kuwa viwanja vimeisha. Na moja kati ya vitu nilivyovipanga kuviweka sawa ni hilo la udalali, kuwa mimi sio dalali na sikuwahi kuwa dalali. Hivyo nitakapo maliza kuviuza vile nilivyopanga kuviuza nitaleta mrejesho hapa.
Kuhusu madalali wanaoleta adha siwezi wazungumzia kwa sababu sikuwahi wafuatilia kwa ukaribu kazi zao na wala sijui ni kwa vipi huwa wakileta adha.
Binafsi nilileta tangazo langu huku jf kwa kuwa nipo humu miaka mingi iliyopita na ndio sehemu yangu ya kipekee ninayopenda kuperuz mda wote, pia nimesha pata bidhaa nyingi ninazo zihitaj kutoka kwenye matangazo yanayowekwa na wadau wengine humu, kwa hiyo hata mimi nikaona ni busara endapo nikiweka tangazo langu humu jf.
Viwanja vipo miaka mingi na wala sikuvichukua karibuni kwa lengo nije niviuze kwa bei kubwa kama usemavyo. Ndugu hiyo bei niliyoiweka hapo kama ni dalali siyo rahisi aku uzie hivo na hapo bado hatujaongea na kufanya biashara.
Usha nitia alama na utachukua namba zangu nishughulikiwe, nakushauri nipigie tufanye biashara mkuu na kama kwako vyuma vimekaza usiwakatishe tamaa wenye uhitaji. Siku hizi biashara ni matangazo na matangazo ni humu mitandaoni, lakin nikushauri kuwa usikariri kila anayetangaza kuuza viwanja au nyumba kuwa ni dalali, wapo na wengine ambao ni wamiliki halali wanaweza kutangaza vizuri.
Mkuu karibu sana nikuuzie kiwanja mimi siko kwa ajiri ya kuleta adha kwako. Zaidi nitakusaidia tu upate eneo kubwa na zuri kwa bei nafuu.
Bila shaka nime eleweka, karibuni kigamboni.
Hawa ndio madalali wasio takiwa na magu vinatoka viwanja wanawahi na kuvitwaa kisha kuviuza kwa bei mbaya kisha kuleta adha kwa wanaotaka mkuu nishakutia alama nachukuwa namba zako na kuzipeleka kwa wahusika ukamatwe na hatua Kali zichukuliwe dhidi yako na iwe mfano kwa wenye tabia kama yako