Helios Towers(HTT)
Helios Towers(HTT)
POMY eng,
ingia crb search electrical contractor au npm
Sasa hivi wanaocontrol minara ya Voda na Tigo ni Syncro Site Watch(SSW) sijajua ofisi zao ziko wapi ila wacheki kama wao pia wanaweza kuwa na kazi

Acha ubinafsi.Jus Pm wl giv u som dat may help u in one way o another
Tembelea zoomtanzania.com nimeona kampun ya REIME wanahitaji watu.Habari zen wana jf.
Wadau naulizia kwa yeyote mwenye kuzijua kampuni zinazohusika na shughuli za minara hapa Dar tukajaribu bahati yetu, huwa nasikia wanachukua sana watu kwenda katika site ila tatizo hadi upate data au uwe na mtu huko.
Itakua vizuri kama mtu atataja kampuni zaid ya moja au tarifa ya kampuni husika kama wanahitaji watu. Nina shahada ya mawasiliano (BSc. Telecommunication Eng).
Tusaidiane wadua maisha yanabana najua wapo watakaosema ujiajiri nao vizuri wakaweka mawazo yao kwani najua wengi watafaidika hapa ila wakumbuke mtaji tatizo na kupata mikopo siku hizi masharti yanafika mbinguni.
Natakuliza shukrani kwako mdau.
Sincro wanacontrol minara ya voda na tigo kwa upande wa power zaid so Sincro nafasi wanazotoa huwa ni za waliosoma Electrical na mechanical engineeringSasa hivi wanaocontrol minara ya Voda na Tigo ni Syncro Site Watch(SSW) sijajua ofisi zao ziko wapi ila wacheki kama wao pia wanaweza kuwa na kazi